Saturday, 26 July 2014

HUYU NDIE MSANII WA KIKE BONGO MOVIES ANAEENDELEA KUWA GUMZO KWA SASA..!


kwa sasa msanii mwenye vituko mwanadada Salma Jabu Nisha aendelea kuwa gumzo kwa mashabiki na kusema huyu ndio kioo cha jamii kwa jinsi anavyojituma akiwa kwenye kazi na pia kuwa mwenye nidhamu ya hali ya juu anapokuwa nje ya kazi, hana majivuno kabisa na sasa anatoka na Filamu nyengine matata sana iitwayo KIDUME ambayo pembeni yake yupo Mboto. Ni hatari sanaaaaaa..!

No comments:

Post a Comment