
Kocha mkuu wa klabu soka ya Yanga
amesema hawatoshiriki michuano ya Kombe la Kagame mpaka watakapopata
Barua Rasmi ya Mwaliko kutoka Katika Baraza la vyama vya soka Afrika
Mashariki na kati CECAFA akizungumza katika Mazoei ya Timu hiyo katika
shule ya Sekondari ya Loyola iliyopo mabibo Marcio Amesema kwa sasa
anajiandaa kwa Kila kitu bila kujari watashiriki au kutoka shiriki
michuano hiyo.
Aidha amewapasha wachezaji wenye Majina
kuwa wasitegemee majina yao kuwa yatawabeba katika klabu hiyo na Badala
yake wajikite katika mazoezi ndipo atakapochagu wachezaji hata katika
michuano ya Kombe la Dunia timu zilizotegemea Mchezaji Mmoja mmoja
hazikufua Dafu katika soka mwaka huu .
MALINZI ASIKITSHWA NA MKOA WA RUVUMA !UNA WAAMUZI NANE TU (SIKILIZA RADIO)

Rais wa Tff Jamali amesikitishwa na hari
ilivyo katika mkoa wa Ruvuma kuwa na waamuzi nane tu licha kuwa na
wilaya nyingi kama Mbinga,Mbambay,Tunduru,Peramiho na Namtumbo ,Songea
Vijini Na Mjini ,Wilaya ya Nyasa ,Nyinginezo kuwa anashindwa kuelewa
walipitaje hadi kufika katika viwango vya Fifa amesema hayo alipokuwa
akifunga semina ya Waamuzi watakaochezesha Ligi kuu Tanzania bara na
Zanzibar .
BOFYA
Aidha kuna waamuzi watatu ambao
wamehusika katika upangaji wa matokeo ambapo Rais wa Tff amesema kosa
hilo ni la kimataifa na amesema kuwa atatoa ushirikiano kwa shikirisho
la kimataifa Fifa
BOFYA
Aidha Baadhi ya waamuzi ambao wamefanikiwa kufuzu katika semina hiyo walikuwa na haya ya kuzungumza
BOFYA
No comments:
Post a Comment