Thursday, 24 July 2014

AZAM FC YAILAZA 1-0 RUVU SHOOTING CHAMAZI

Mshambuliaji wa Azam FC, Didier Kavumbagu akimtoka beki wa Ruvu Shooting katika mchezo wa kirafiki asubuhi ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam ilishinda 1-0 bao pekee la chipukizi Bryson Raphael kipindi cha pili.
Leonel Saint-Preux wa Azam akimtoka beki wa Ruvu Shooting
Beki wa Ruvu Shooting, Stefano Mwasyika akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Azam FC, Didier Kavumbangu
Kiungo aliyekuja majaribio, Serge Lofo akipiga mpira katikati ya wachezaji wa Ruvu
Joseph Peterson aliyekuja majaribio kutoka Haiti akimuondoa njiani kiungo wa Ruvu

No comments:

Post a Comment