
Mlinzi wa zamani wa Arsenal na Chelsea, Cole aelekea klabu ya Roma Uitaliano
'Waingereza hawapanii kuchezea vilabu vya nje'- asema Ashley Cole
Mlinzi huyo wa zamani wa Arsenal na Chelsea,
mwenye umri wa miaka 33, amesema kuwa wanasoka wa Uingereza wanaogopa
kujisajili katika vilabu vya nje ya Uingerea - kwanini ?Adai wanahisi wametulia tuliii nyumbani hivyo hawataki au hawawezi bughdha za vilabu vya ugenini.
Yeye mwenyewe Ashley, anahamia Roma Uitaliano wakati mkaba wake na Chelsea unapokamilika.
No comments:
Post a Comment