Saturday, 26 July 2014

DU..! BOB JUNIOUR AFUNGUKA JUU YA BIF LA DIAMOND NA ALI KIBA,CHEKI HAPA LAIVU BILA KING'AMUZI



MSANII na Producer anaetamba na Bolingo kwa sasa Bob Junior "Sharobaro" leo ameongelea ama kutoa ushauri kuhusu kutokuelewana kati ya wasanii wawili wa Bongo Fleva Ally Kiba na Diamond Platnumz, Amesema kuwa Ally Kiba ni Best Vocal na Best Artist in Bongo na Africa hivyo amemtaka Mdogo Mdogo ambae kwa jina la wimbo yani Diamond kumuheshimu Ally Kiba, Pia ameendelea kwa kumwambia Ndagushima kwa jina la wimbo yani Ommy Dimpoz kwamba ugomvi huo haumuhusu hivyo asitafute kiki kupitia Beef hiyo.
Nanukuu "BIFU SIO KITU KIZURI UNAJUA ALIKIBA NI BEST VOCAL ANAJUA AKIFANYA CHO KUJIINUA SO UKIMYA WAKE USIKUFANYE WW KUMTUKANA KIIVYO NA KUMSEMA VIBAYA ATA WW #NGAGUSHIMA HILI BIFU WW ALIKUHUSU ACHA KUTAFUTA KIK KUPITIA BIFU ZA WATU ALIKIBA UR THE BEST AND MY BEST ARTIST IN BONGO AND AFRIKA SO WW #mdogomDOGO ALIKBA ITS UR BROTHER MUHESHIMU BHANA"

TAZAMA PICHA 10 ZILIZOJIZOLEA UMAARUFU MKUBWA DUNIANI..!



T

op 10 most famous photos in the world. These photos are so common that a large percentage of the world have see it. So I will arrange it in a decending order. Number 1 is the most popular photo in the
world. If you haven't see it....Thank me now, lol

10.. Afghan Girl [1984]

Photographer: Steve McCurry

Famous photo, The Afghan Girl picture shot by National Geographic photographer Steve McCurry. Sharbat Gula was one of the students in an informal school within the refugee camp; McCurry, rarely given the opportunity to photograph Afghan women, seized the opportunity and captured her image. She was approximately 12 years old at the time. She made it on the cover of National Geographic next year, and her identity was discovered in 1992.

9.Omayra Sánchez [1985]
Photographer: Frank Fournier

Famous photo, Omayra Sanchez

Omayra Sánchez was one of the 25,000 victims of the Nevado del Ruiz (Colombia) volcano which erupted on November 14, 1985. The 13-year old had been trapped in water and concrete for 3 days. The picture was taken shortly before she died and it caused controversy due to the photographer’s work and the Colombian government’s inaction in the midst of the tragedy, when it was published worldwide after the young girl’s death.

8.
Winston Churchill [1941]

Photograph from: Yousuf Karsh

Famous photo, Portrait of Winston Churchill

This photograph was taken by Yousuf Karsh, a Canadian photographer, when Winston Churchill came to Ottawa. The portrait of Churchill brought Karsh international fame. It is claimed to be the most reproduced photographic portrait in history. It also appeared on the cover of Life magazine.

7.
Kosovo refugees [1999]

Photographer: Carol Guzy

Famous photo, The Plight of Kosovo Refugees

The photo is part of The Washington Post’s Pulitzer Prize-winning entry (2000) showing how a Kosovar refugee Agim Shala, 2, is passed through a barbed wire fence into the hands of grandparents at a camp run by United Arab Emirates in Kukes, Albania. The members of the Shala family were reunited here after fleeing the conflict in Kosovo.

6.
Stricken child crawling towards a food camp [1994]

The photo is the “Pulitzer Prize” winning photo taken in 1994 during the Sudan Famine.

The picture depicts stricken child crawling towards an United Nations food camp, located a kilometer away.

The vulture is waiting for the child to die so that it can eat him. This picture shocked the whole world. No one knows what happened to the child, including the photographer Kevin Carter who left the place as soon as the photograph was taken.

Three months later he committed suicide due to depression.

5.
Segregated Water Fountains [1950]

Famous photo, Segregated Water Fountains

Picture of segregated water fountains in North Carolina taken by Elliott Erwitt.

4. Burning Monk – The Self-Immolation [1963]
Photographer: Malcolm Brown.

June 11, 1963, Thich Quang Duc, a Buddhist monk from Vietnam, burned himself to death at a busy intersection in downtown Saigon to bring attention to the repressive policies of the Catholic Diem regime that controlled the South Vietnamese government at the time. Buddhist monks asked the regime to lift its ban on flying the traditional Buddhist flag, to grant Buddhism the same rights as Catholicism, to stop detaining Buddhists and to give Buddhist monks and nuns the right to practice and spread their religion.

While burning Thich Quang Duc never moved a muscle.

3.
Bliss [~2000

Photographer: Charles O’Rear

Bliss is the name of a photograph of a landscape in Napa County, California, east of Sonoma Valley. It contains rolling green hills and a blue sky with stratocumulus and cirrus clouds. The image is used as the default computer wallpaper for the “Luna” theme in Windows XP.

The photograph was taken by the professional photographer Charles O’Rear, a resident of St. Helena in Napa County, for digital-design company HighTurn. O’Rear has also taken photographs of Napa Valley for the May 1979 National Geographic Magazine article Napa, Valley of the Vine.

O’Rear’s photograph inspired Windows XP’s US$ 200 million advertising campaign Yes you can.

2.
. The Triangle Shirtwaist Fire [1911]

Photographer: International Ladies Garmet workers Union.

Picture of bodies at the Triangle Shirtwaist Company. Company rules were to keep doors closed to the factory so workers (mostly immigrant women) couldn’t leave or steal. When a fire ignited, disaster struck. 146 people died that day.
1.
Finally, a question for you……… ….. Who is this famous guy?

HUYU NDIE MSANII WA KIKE BONGO MOVIES ANAEENDELEA KUWA GUMZO KWA SASA..!


kwa sasa msanii mwenye vituko mwanadada Salma Jabu Nisha aendelea kuwa gumzo kwa mashabiki na kusema huyu ndio kioo cha jamii kwa jinsi anavyojituma akiwa kwenye kazi na pia kuwa mwenye nidhamu ya hali ya juu anapokuwa nje ya kazi, hana majivuno kabisa na sasa anatoka na Filamu nyengine matata sana iitwayo KIDUME ambayo pembeni yake yupo Mboto. Ni hatari sanaaaaaa..!

PICHA ZA MATENGENEZO YA FILAMU BONGO MOVIES ZAZUA MAKUBWA!!!



Uuuwiiiiiiiiiiiiii...!!!! Hii ni

Lulu Michael Amfungukia Ali Kiba Bofya hapa kuona alichosema

 

Ali Kiba ameachia  nyibo mbili  kwa  mpigo ambapo response ya mashabiki ni nzuri. Sasa kupitia Instagram star wa filamu nchini Elizabeth Michael 'Lulu" amefunguka mambo mengi  sana  kuhusiana  na  Ali Kiba.......Hiki  ndicho  alichokisema:
 
"Haya sasa.....maelezo hatimaye yamepatikana....mnivumilie ni marefu Kidogo...! 
1. Pongezi kwa @officialalikiba nimesikia Mwana wa Dar es Salaam tu lkn kiukweli Mimi binafsi umenikonga moyo...! 

2. Ieleweke kwamba Mimi ni shabiki wa mziki mzuri hata ukiwa umeibwa na underground na wengi wenu mmekuwa mashaidi maana huwa na post video nikiimba miziki ya watu tofauti hata wasio mastar wakubwa...kwahyo mm sio shabiki wa mtu ni shabiki wa kazi ya mtu
 3.Nimegundua wasanii wengi wa Tanzania tuna U mimi....hivi ulaya wangekuwa hvyo...Hollywood c kungekuwa na mtu mmoja tu au wawili basi....nadhani umefika muda wa wasanii Kama wasanii kila mmoja kujiamini ktk kazi Zake na kufikiria kufanya makubwa sio kufikiria kushindana na flani.....tena tukishirikiana tutaweza kufika mbali zaidi ya hapa...tutaendelea kila cku kuona maajabu wenzetu Nigeria wanafika mbali....wanajielewa na wanashirikiana...!Kama binadamu kukoseana kupo ila ukijua kosa kuomba msamaha na kuendelea na maisha ndo busara zaidi

 4.Hapa sasa....nieleweke jmn...Mashabiki wetu Tunawapenda sawa....lakini kwa namna moja au nyingine Mashabiki mnchangia bifu za wasanii....JAMANI Ukiwa shabiki wa Lulu haimaanishi umchukie Wolper(mfano)Kama ww ni shabiki wa mtu sio umchukie msanii mwingine na hii kwakweli ninaiona Tanzania tu(thou sio Mashabiki WOTE) 

5. Mwisho...WOTE tunategemeana wasanii tupendane tukiona wenzetu flani wana shida tusaidie kuondoa tofauti na Mashabiki pia nyie ndo msaidie kupatanisha watu sio kuchochea ugomvi....
 
Mungu alivyotuumba wengi alikuwa na maana yake sasa we ukitaka uwe Mkali pekeyako ungeumbwa mwenyewe ukawekwa kwenye dunia ya pekeyako tukusome kwenye history dunia flani Kuna mtu mkali yuko pekeyake..!duh nimechoka kuandika lkn cjamaliza.....bt I real wish wakali mngeungana mfanye mambo makubwa....naamini inawezekana...!"

Aibu: MJOMBA Afumaniwa na Mke wa MPWA wake wakingonoka Gesti




Timbwili la aina yake lilifumuka ndani ya gesti moja iliyopo Mbezi Afrikana jijini Dar es Salaam (jina kapuni), kufuatia kijana aliyefahamika kwa jina moja la Kelvin kumkuta chumbani mtu aliyedai ni mjomba wake, Joseph akiwa na mkewe wa ndoa, Emiliani.

Mkasa huo wa ajabu ulijiri usiku wa Jumamosi iliyopita kwenye gesti hiyo iliyopo Mbezi ya Afrikana jijini Dar es Salaam.
 
Mama mmoja aliyedai ni mpishi wa futari maeneo hayo, alipiga simu kwa mwandishi  na  kusema:

“Mimi ni mpishi wa futari hapa Mbezi Afrikana kuna baba mmoja na ndugu zake wanachakazana, kisa wamefumaniana kwenye gesti ya (akaitaja jina). Ipo hapahapa jirani njooni muwahi.”

Kufuatia taarifa hiyo, mwandishi  wetu  alifika  eneo  la  tukio  na kumkuta Kelvin amemvaa mjomba ‘ake chumbani ambapo timbwili zito lilitifuka. Walikuwa wakigaragazana huku mjomba mtu huyo akiwa kama alivyozaliwa na damu chapachapa jambo lililomtia aibu!
 
Mwandishi  bila kuzubaa alianza kuchukua picha za tukio  hatua kwa hatua. Wakati Timbwili likiendelea, Joseph alikuwa akipiga mayowe kumuomba mpwa wake huyo amsamehe ili wayamalize kimyakimya na kumsihi asisambaze habari hizo zikafika mpaka nyumbani kwa mke wake.
 
Katika hali ya kushangza, wakati wawili hao wakiendelea kuangushana chumbani, mke huyo alipata upenyo na kuchoropoka, akatimua mbio kwa kuhofia kipigo na kukwepa kamera.

Timbwili la wajomba hao lilitulizwa na mlinzi wa gesti hiyo (jina halikujulikana)  ambaye alitumia mabavu na kufanikiwa kuwadhibiti na kuwaweka kitako.
 
Baada ya kutulizwa, Kelvin aling’ang’ania waende polisi lakini mjomba mtu alikataa katakata akimbembeleza mpwa wake kwamba wayamalize na kuahidi kutorudia tena mchezo huo huku akisema mwanamke huyo alimuwekea mtego wa makusudi.

Baadhi ya waungwana waliofika kushuhudia tukio hilo walimsihi Kelvin kumsikiliza mjomba ‘ake na kupokea fidia kidogo kwani kuyasongesha mbele mambo hayo ni aibu kwa familia yao na kumtia matatani mjomba huyo kwa mkewe.
 
Kufuatia maombi ya watu, akiwemo mlinzi wa gesti hiyo, Kelvin alikubali kumsamehe mjomba wake ambaye naye ‘alijikomiti’ kimaandishi (kopi tunayo) kumlipa Kelvin fidia ya shilingi laki tano (500,000) na kuahidi kutorudia kummendea mke wake.

Katika barua hiyo aliyoaindika Joseph kwa mkono, alikiri kukutwa na mke wa Kelvin na kusema anatoa shilingi laki tatu (300,000) siku hiyo kisha kiasi kinachobaki atatoa siku inayofuata.
 
Hata hivyo, taarifa zilizotufikia wakati tunakwenda mitamboni zinadai kuwa, Joseph alikwenda kituo cha polisi (jina halijajulikana) kumfungulia kesi mpwa wake Kelvin na mkewe Emiliani akidai walipanga kumfanyia fumanizi.

ANGALIA MASTAA WA FC PORTO, BARCELONA WALIVYOMUAGA DECO, ETO'O WAUNGANA


WACHEZAJI MBALIMBALI NYOTA WAMEUNGANA PAMOJA NA KUMUAGA NYOTA WA ZAMANI WA FC PORTO NA BARCELONA, DECO.
DECO ALIAGWA NA WACHEZAJI MBALIMBALI WAKIWEMO SAMUEL ETO'O, LIONEL MESSI, DIEGO COSTA, BENNI MACATHY NA WENGINE KIBAO.










SIMBA NA YANGA ZAKABIDHIWA VIFAA KWA MSIMU WA 2013/14 LEO


Katibu wa Simba Evodius  Mtawala (kushoto) na Meneja wa Bia ya Kilimanjaro George Kavishe  (kulia) wakiwa wameshika vifaa ambavyo Simba imekabidhiwa leo kwa ajili ya msimu wa ligi 2013/14


Meneja wa Bia ya Kilimanjaro George Kavishe  (kushoto) na katibu wa Yanga Lawrance Mwalusako (kulia) wakiwa wameshika vifaa ambavyo Yanga imekabidhiwa leo kwa ajili ya msimu wa ligi 2013/14



Ikiwa ni sehemu ya udhamini wake, bia ya Kilimanjaro Premium Lager imekabidhi vifaa vya michezo kwa klabu maarufu za Simba SC na Young Africans SC kwa ajili ya msimu wa 2013/14 wa Ligi Kuu inayotarajiwa kuanza mwezi ujao.

Meneja wa bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe alisema “Tunawapatia vifaa mapema kabla ya ligi kuanza ili wapate muda wa kutosha kujiandaa kwa ajili ya msimu wa 2013/14 ambayo bila shaka itakuwa na changamoto kubwa kwa timu hizi mbili na pia tunaamini kuwa siri ya mafanikio katika michezo ni maandalizi mazuri. 

Ni matumaini yetu kuwa wachezaji wapya waliosajiliwa Simba na Yanga wataiwakilisha Kili vizuri na kufurahia kuzichezea klabu hizi kongwe.”
Kavishe aliongeza kuwa Vifaa ambavyo wametoa ni pamoja na mipira, viatu, soksi, shin guards, nguo za mazoezi, nguo za kawaida, gloves na vitu vingine vingi ambavyo vitawezesha timu hizi za Simba na Yanga kucheza wakifurahia kuvaa vifaa vyenye ubora wa hali ya juu.

Kilimanjaro Premium Lager kama mdhamini mkuu wa Simba na Yanga, na kinywaji kinachoongoza katika udhamini wa soka hapa nchini tunadhani kwamba uhusiano wetu na klabu hizi ni kiungo muhimu sana katika kuendeleza mpira wa miguu hapa Tanzania. Tutaendelea kutimiza wajibu wetu kwa klabu hizi na kama ilvyo kawaida yetu, tutahakikisha tunalifikisha soka la Tanzania kwenye kilele cha mafanikio. 

Kavishe alisema kuwa udhamini wa Kilimanjaro Premium Lager kwa Simba na Yanga umelenga kukuza soka la Tanzania, kuleta msisimko, na kuvutia mashabiki wengi wa mpira wakati na vilevile kuwaweka wachezaji wa Tanzania katika nafasi nzuri ya kimataifa.

Tunawashukuru viongozi wa Simba na Yanga, mashabiki wote, vyombo vya habari na wadau wote wa mpira kwa ushirikiano mzuri tunaoendelea kupata kwenye udhamini wetu na hiyo ndio siri ya mafanikio ya uhusiano wetu na klabu hizi mbili maarufu.

“Tunawaomba mashabiki wa Simba na Yanga waendelee kuiunga mkono bia yao ya Kilimanjaro Premium Lager kwani tunafanya kila jitihada kuwapa burudani na kufikisha soka la Tanzania kwenye kilele cha mafanikio.”

JEREMY MATHIEU KUTIMBA RASMI FC BARCELONA



Jeremy Mathieu has described Barcelona as the 'best club in the world'

Jeremy Mathieu (C) poses with the sporting director Andoni Zubizarreta (L) and Vice-President Jordi Mestre

The French defender will replace former captain Carles Puyol at the heart of defence

Jeremy Mathieu is officially unveiled at the Nou Camp

Barcelona's biggest deal this summer has been the £75m transfer of Luis Suarez

HOJA YA SUAREZ KUSIKILIZWA WIKI YA PILI MWEZI AUGUST (CAS)


CAS to make Suárez ruling in second week of August

Mahakama ya usuluhishi ya Michezo CAS imekubari kusikiliza rufani ya mshambuliaji wa Zamani wa Liverpool ambaye kwa sasa amesajiliwa na 
 Barcelona na Italoea maamuzi katika wiki ya pili ya Mwezi wa Nane  .

Kwa mujibu wa Adhabu iliyotolewa na Shirikisho la kimataifa la soka Fifa katika kamati yake ya Nidhamu , Suárez amefungiwa kucheza mechi za kimataifa kwa mechi tisa na kutoruhusiwa kujishughurisha na maswala yoyote yanayohusiana na mpira wa Miguu ikiwemo kwenda kutazama mpira kiwanjani kwa muda wa Miezi minne".

Katika maamuzi yaliyotolewa na Fifa kuhusu Suarez , FIFA ilimkuta na hatia Mshambuliaji huyo kwa kuvunja Kifungu   48, Para ya Kwanza 1, sehemu ya Nne d katika sheria za nidhamu za Fifa (FDC) (Uzalilishaji),na kifungu cha  57 (Kinachosimia tabia zisizokubarika uwanjani kwa mchezaji mwenza ).

MAXIMO BILA BARUA HATUCHEZI KAGAME(MSIKILIZE LIVE AKIONGEA)




Kocha mkuu wa klabu soka ya Yanga amesema hawatoshiriki michuano ya Kombe la Kagame mpaka watakapopata Barua Rasmi ya Mwaliko kutoka Katika  Baraza la vyama vya soka Afrika Mashariki na kati CECAFA akizungumza katika Mazoei ya Timu hiyo katika shule ya Sekondari ya Loyola iliyopo mabibo Marcio Amesema kwa sasa anajiandaa kwa Kila kitu bila kujari watashiriki au kutoka shiriki michuano hiyo.

Aidha amewapasha wachezaji wenye Majina  kuwa wasitegemee majina yao kuwa yatawabeba katika klabu hiyo na Badala yake wajikite katika mazoezi ndipo atakapochagu wachezaji hata katika michuano ya Kombe la Dunia timu zilizotegemea Mchezaji Mmoja mmoja hazikufua Dafu katika soka mwaka huu .

MALINZI ASIKITSHWA NA MKOA WA RUVUMA !UNA WAAMUZI NANE TU (SIKILIZA RADIO)


 

Rais wa Tff Jamali amesikitishwa na hari ilivyo katika mkoa wa Ruvuma kuwa na waamuzi nane tu licha kuwa na wilaya nyingi kama Mbinga,Mbambay,Tunduru,Peramiho na Namtumbo ,Songea Vijini Na Mjini ,Wilaya ya Nyasa ,Nyinginezo kuwa anashindwa kuelewa walipitaje hadi kufika katika viwango vya Fifa amesema hayo alipokuwa akifunga semina ya Waamuzi watakaochezesha Ligi kuu Tanzania bara na Zanzibar .
BOFYA

Aidha kuna waamuzi watatu ambao wamehusika katika upangaji wa matokeo ambapo Rais wa Tff amesema kosa hilo ni la kimataifa na amesema kuwa atatoa ushirikiano kwa shikirisho la kimataifa Fifa 
BOFYA

Aidha Baadhi ya waamuzi ambao wamefanikiwa kufuzu katika semina hiyo walikuwa na haya ya kuzungumza 
BOFYA

Thursday, 24 July 2014

TAMBO ZA MTIBWA SUGAR TIMU PINZANI ZINAWEZA KUKIMBIA LIGI KUU.




TIMU nyingi zinazoshiriki ligi kuu soka Tanzania bara zipo katika maandalizi ya kujiwinda na msimu mpya utakaoanza kushika kasi septemba 20 mwaka huu.

Wakata miwa wa mashamba wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro, Mtibwa Sugar wapo jijini Dar es salaam kujifua katika fukwe za Koko ili kujiimarisha zaidi.

Mtibwa Sugar chini ya kocha mkuu, Mtanzania Mecky Mexime, msimu uliopita ilimaliza katika nafasi ya 7 kwa kujikusanyia pointi 31 kibindoni.
Mabingwa hao mara mbili mfululizo wa Tanzania kwa mwaka 1999 na 2000 walishinda mechi 7, sare 10 na kufungwa mechi 9. Walitikisa nyavu za wapinzani mara 30 na zao kuguswa mara 31.

Tangu itwae ubingwa miaka miwili mfululizo (1999, 2000), Mtibwa haijawahi kuwa katika ubora wake na kujikuta ikishika nafasi za kawaida katika msimamo.

Msimu uliopita walishindwa kutamba kabisa na kuziacha timu za Azam fc, Yanga, Mbeya City fc, Simba, Kagera Sugar na Ruvu Shooting kukaa juu yao katika msimamo wa ligi kuu.

Mtibwa ni timu inayoendeshwa kikampuni na haina matatizo kama klabu za wanachama, lakini haijawa na makali kama Azam fc na hata pacha wao  Kagera Sugar.

Kuelekea msimu ujao, wakata miwa hao wa Manungu wamesema wanajifua vilivyo ili kurejesha heshima yao iliyopotea kwa muda mrefu.
Afisa habari wa klabu hiyo, Tobias Kifaru Lugalambwika amejitapa na kusema kwamba maandalizi yanakwenda vizuri na wala hakuna haja ya kuifananisha na timu ndogo.

“Mtibwa iko vizuri kweli kweli, moja ya klabu inayoendeshwa kikampuni, Tunakwenda kwenye mstari, hatuyumbishwi na watu”. Alisema Kifaru.
Afisa habari huyo aliongeza kuwa Mtibwa ni klabu bora Tanzania, tofauti na timu changa za Azam na Mbeya City.

“ Hapa Tanzania klabu bora na kongwe ni tatu tu, Simba, Yanga na Mtibwa”. Alijigamba Kifaru.
“Kuna timu zinawika mwaka mmoja halafu zinatelemka, halafu unaziona tena baada ya miaka 10 au 15. Mtibwa ipo juu na usifananishe ni timu nyingine”.

“Maandalizi ni mazuri na msimu ujao tutafanya vizuri na kurudi katika hadhi yetu. Tunakiri kufanya vibaya kwa miaka mingi, lakini sasa inatosha”. Alimaliza Kifaru.

MKUDE SIMBA;KITALE KUINGIZA MITAANI HARUSI YA TEJA


  Msanii wa tasnia ya Maigizo anayefanya poa sana katika sehemu tofauti Mussa kitale aka Mkude simba  Kitale, anatarajia kuingiza sokoni move yake mpya ya vichekesho inayoitwa Harusi ya Teja
   Akizungumza na ubalozini.blogspot.com Kiatale amesema, mashabiki wake wakae mkao wa kula kwani watapata kitu hakijawahi kutokea katika tasnia ya Bongo Move. " Nimeamua kuja na mawazo mapya kwa ajili ya kuboresha soko la filamu na lasanaa kwa jumla, tofauti na ilivyo sasa Move nyingi za kibongo zanakuwa na mawazo yanayofanana kitu ambacho shabiki anachoka" amesema Kitale ambaye kwa sasa anatmba na style yake mpya iliyokuja kwa kasi sana ya mkude simba
  Katika Harusi ya Teja utakutana na wasanii wengi wa Commed wapya na wakongwe ambao wamefanya kitu adimu sana katika move hiyo inayotarajiwa kuingia sokoni hivi karibuni.

Baadhi ya matukio utakayoyakuta ndani ya Harusi ya teja 




Hapa teja akijitambulisha yeye na mkewe